• October 12, 2020 4:07 pm
  • Bagamoyo, Pwani
Featured
Sh 1,100,000per month

Nyumba ya vyumba 3 kimoja cha kujitegemea inapagishwa Bagamoyo ina kila kitu ndani unaingia na nguo zako za kuvaa tu! Shilingi milioni 2 kwa mwezi. Ina maji ya Dawasco na Kisima, Umeme, Vinyovyozi, Feni, Mashine ya kufulia, Jokofu Jenereta, Bustani, Fensi, Ulinzi na nk. Haina dalali ila madalali wenye wateja mnakaribishwa.

3 bedrooms house one master bedroom, and two big rooms. Kitchen, Sitting Room, Dining Room, indoor store, A Bar, Located just off the Main Road to Bagamoyo Town. Ukuni is one of the well planned residential area in Bagamoyo. The house if fit for family or singles. For price and other details, Please Call +255 716 161 666 Please note: The house is fully furnished and the rent price is per month! The rent price can be further negotiated for a serious tenant once the house has been viewed.

Overview

  • Adress : Bagamoyo
  • House Size : 900sqm
  • Adress : Bagamoyo, Tanzania
  • Appt Size : 900sqm
  • Bed : 3
  • Bath : 2
  • Toilet : 2

Location

Bagamoyo,Pwani

Leave a Review

Your email address will not be published. Required fields are marked *