Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

Viwanja vinauzwa chagua utakacho malipo awamu Commercial

1 year ago Real estate Dar es Salaam   808 views
Location: Dar es Salaam
Price: TSh --

Viwanja vipo Kigamboni Mbutu-Mkwajuni. Vimepimwa na vina mawe, Mnunuzi atamalizia kufwatilia Hati (Title Deed) kwa jina lake.
Vina ukubwa tofauti tofauti , umeme umefika na panafikika kiurahisi.
Malipo yanaweza kufanyika kwa cash au kwa awamu ( instalment) mbili.

1.Sqms 4023-bei: Milioni 300. Matumizi ya kiwanja ni shell.
2. Sqms 3480-bei:Milioni 300,00. Matumizi ya Kiwanja ni: Shopping mall.

Orodha hii ni ya viwanja vya makazi.
1.Sqms 506, Bei: Milioni 6.6
2.Sqms 653, Bei : Milioni 8.5
3. Sqms 433, Bei: Milioni 5.7
4. Sqms 253, bei: Milioni 3.3.
5. Sqms 387,bei: Milioni 5.2.
6. Sqms 433, Bei: Milioni 5.7
7. Sqms 466, Bei: Milioni 6.2.
8. Sqms 520, Bei: Milioni 6.8
9. Sqms 448, Bei Milioni 6.
10. Sqms 520, Bei: Milioni 6.8
11. Sqms 448, Bei Milioni 6.
12. Sqms 520, Bei milioni 6.8
13. Sqms 424, Bei milioni 5.6
14.Sqms 520, Bei Milioni 6.8
15.Sqms 329, Bei Milioni 4.3
16. Sqms 454, Bei Milioni 6.
17.Sqms 300, Bei Milioni 4.
18. Sqms 402, Bei Milioni 5.3

for call,sms,whatsap [***]