Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

SUBARU LEGACY STATION WAGON Individual

7 months ago Automobiles Dar es Salaam 263 views

TSh3,000,000

  • img
Location: Dar es Salaam
Price: TSh3,000,000 Negotiable

Subaru legacy kizazi cha kwanza, hii gari ni imara sana na imetembea mileage 154, 000 haijapiga safari kama inavyostahili, hii gari ni nzima kabisa huna cha kubadilisha wala kuongeza isipokuwa radio, inafanyiwa service kila inapofika wakati, ukinunua unaondoka nayo haina hitilafu yoyote zaidi ya kuifurahia. Engine yake ni 2.2 litres na inatembea KM 18 kwa lita moja ya mafuta ukiwa katikati ya mji na KM 21 kwa lita moja ukiwa safarini ama highway. Njoo na fundi na kutakuwa na free test drive baada ya wewe kuliwekea mafuta

Additional Details

Make Enter Make
Year Enter Year
Transmission Enter Transmission
Body Type Enter Body Type
Fuel Type Enter Fuel Type
Colour Enter Colour
Mileage Enter Mileage
Engine Size Enter Engine Size