Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

Shamba Lililopimwa Lipo Kibaha Kwa Bei Rahis Sana Individual

1 year ago Real estate Dar es Salaam   818 views

TSh5,000,000

  • shamba-lililopimwa-lipo-kibaha-kwa-bei-rahis-sana-big-0
  • shamba-lililopimwa-lipo-kibaha-kwa-bei-rahis-sana-big-1
  • shamba-lililopimwa-lipo-kibaha-kwa-bei-rahis-sana-big-2
  • shamba-lililopimwa-lipo-kibaha-kwa-bei-rahis-sana-big-3
  • shamba-lililopimwa-lipo-kibaha-kwa-bei-rahis-sana-big-4
  • shamba-lililopimwa-lipo-kibaha-kwa-bei-rahis-sana-big-5
Location: Dar es Salaam
Price: TSh5,000,000 Negotiable

Shamba lililopimwa lipo kibaha, njia rahisi na fupi ni ya kupitia bagamoyo road ukivuka daraja linalotenganisha bunju na bagamoyo upande wa kushoto uelekeo wa bagamoyo kuna barabara iliyochongwa vizuri, umbali ni kilometa 7 kutoka bagamoyo road kwenda shambani yaani kutokea baobab sekondari hadi shambani, shamba lipo kwenye barabara pia iliyochongwa vizur nayo. Shamba lenyewe lipo wilaya ya kibaha, kata ya saangani sehemu inaitwa kidimu, shamba lina jumla ya hekari 8 zilizopimwa zote, na linauzwa kuanzia hekari 1 sio kwa kiwanja kimoja moja, na pia kuna huduma za msingi kama vile maji, hospitali, umeme na mengineyo, yani ni mji tayar na kuna wakazi wengi tuu. Bei imepungua sasa Hekari 1 bei 5 million maongezi yapo kidogo sn, Me ndio mmiliki hakuna dalali hapa. Kama upo serious Please Call/Sms 0789361555