Health & Beauty Items – Bongofree Tanzania Classified Ads & Local Marketplace

MAGONJWA YA MOYO KUTANUKA DALILI, MADHARA, CHANZO NA TIBA YAKE
Moyo kutanuka kwa kitalamu tunaita cardiomegally

Maana yake moyo umekuwa mkubwa kuriko kawaida.

Moyo unatanuka pale misuri yake inapo fanya kazi kupita kiasi ina panuka nakufanya chembe za moyo kutanuka.

Kutanuka kwa moyo siyo ugonjwa bali ni dalili za kuwa na ugonjwa ambao ndiyo sababu ya kutanuka kwa moyo

Badhii ya sababu zinazo pelekea moyo kutanuka ni

Kupanda kwa presha ya damu

Matatizo katika valve kwenye moyo

Moyo ulio tanuka hauwezi kusambaza damu kwenye maeneo yote ya mwili ukiringanisha na moyo mzima

Chanzo cha moyo kutanuka

1.Kuziba kwa mishipa ya damu

2.Ukuwaji wa valve za moyo usio wa kawaida

3.Ukuwaji wa virusi kwenye moyo

4.Mimba hasa pale mwanamke anapo jifungua

5.Magonjwa ya figo

6.Matumizi ya pombe na sigara

7.Mambukizi ya virusi vya ukimwi

8.Matatizo ya kurithi

9.Matatizo ya tezi ya kurith(tyroid)

10.Shambulio la moyo

11.Mabadiriko ya mapigo ya moyo mara kwa mara

12.Upungufu wa damu.

Daloli za Moyo Kutanuka

1.kushindwa kupumua vizuri

2.Mabadiriko ya mapigo ya moyo

3.Kuvimba kwa miguu na vifundo vya miguu kutokana na kujaa maji

4.Mwili kukosa nguvu na kizungu zungu

5.Maumivu ya kifua

6.Maumivu ya mgongo, mikono au shingo na kupoteza fahamu.

Dalili hizo ni viashiria tosha moyo wako umetanuka.

Uonapo dalili hizo wasiliana namimi sasa upate suruhisho la kudumu tiba mbadala zilizo thibitishwa na mamlaka za afya nchini (TMDA), TFDA, FDA NK…

PIGA AU TUMA UJUMBE MFUPI

0684450076

P.I.D PELVICS INFLAMATORY DESEASE
Pelvic Inflammatory Disease PID

Pelvic inflammatory disease, ugonjwa huu unafahamika kama PID, ni maambukizi kwenye via vya uzazi wa mwanamke . PID ni miongoni kwa magonjwa hatari sana kwa mwanamke una madhara makubwa na unaambukizwa kwa njia ya kujamiiana.

Ugonjwa huu unaweza ukapelekea uharibifu mkubwa kwenye mfuko wa uzazi,mayai ,mirija ya uzazi au sehemu nyingine za uzazi wa mwanamke

Na pia Pid ni moja ya chanzo cha ugumba kwa mwanamke ambacho kinaweza kuzuilika.

TAKWIMU ZINAONESHA

Kila mwaka,zaidi ya wanawake milioni moja nchini marekani wanapatwa na ugonjwa huu wa PID,

Matokeo yake zaidi ya wanawake 100000 wanakuwa wagumba kila mwaka.

Zaidi ya hayo idadi kubwa ya mimba zaidi ya 100000 inatungiwa kwenye mirija ya uzazi(ectopic pregnancy) inahusishwa na tatizo hilo la PID.

Kiwango kikubwa cha maambukizi ni kwa wasichana wadogo

VISABABISHI VYA PID

Kwa kawaida mlango wa uzazi (cervix) inazuia bakteria ambao wameingia ukeni wasisambae sehemu zingine za ndani za uzazi

Kama mlango wa uzazi cervix umepatwa na magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya kujamiiana kama kisonono na/au clamydia

Mlango huo wa uzazi cervix unaathirika na unakuwa na uwezo mdogo

wa kuzuia kusambaa kwa bakteria sehemu za ndani za uzazi.

PID inatokea pale vimelea vya magonjwa vinaposafiri kutoka kwenye mlango wa uzazi cervix kwenda sehemu za juu za uzazi.

Aslimia 90 ya PID husababishwa na kutotibiwa ugonjwa wa kisonono na klamidia

Visababibishi vingine vya pid

👉Kutoa mimba

👉Kujifungua

👉Vipimo kwenye mlango wa uzazi

DALILI ZA PID

Dalili za PID zinatofautiana,zinaweza kuwa zifuatazo

👉Maumivu ya tumbo sehemu ya chini au upande wa kulia

👉Kutokwa kwa uchafu ukeni usio wa kawaida wenye rangi ya kijani au ya njano na wakati mwingine una harufu isiyo ya kawaida

👉Kichefuchefu na kutapika

👉Homa ya huu

👉Maumivu wakati wa tendo la ndoa

👉Maumivu wakati wa kukojoa

👉Maumivu sehemu ya kulia upande wa juu wa tumbo

MAMBO YANAYOWEZA KUMUWEKA HATARINI MWANAMKE KUPATA PID

Kuna baadhi ya vitu ambavyo vinamuweka mwanamke katika hatari ya

kupata PID ni kama vifuatavyo

1.Wanawake wenye magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya kujamiiana kama kisonono na klaimidia wako hatarini sana kupata PID

2.Wanawake ambao waliwahi kupata PID wako hatarini kupata tena

3. Wasichana wadogo wapo hatarini kupata PID kuliko wazee.

4.Wanawake wenye wapenzi wengi wako katika hatari ya kupata magonjwa ya zinaa na PID

Baadhi ya tafiti zinaeleza uoshaji wa uke unachangia kupata PID.

.Kuosha uke( Douching) kunaweza pelekea kusukuma bakteria sehemu za juu za via vya uzazi na kuzuia kutoka kwa uchafu ambao mwanamke angeweza kutumia kama ishara ya kwenda kuonana na wataalamu wa Afya mapema

MADHARA YA PID

Kutokea /kujirudia kwa PID kunaweza kusababisha

kutokea kuharibika mirija ya uzazi ambayo inaweza kupelekea

👉Ugumba

👉Mimba kutunga kwenye mirija ya uzazi(ectopic pregnancy)

👉Maumivu makali kwenye shingo ya kizazi

Kati ya wanawake nane (8) wanaougua PID mmoja(1) unakuwa mgumba

JINSI YA KUJIKINGA NA PID

PID inaweza kuzuilika kabisa ,kisababishi kikubwa cha pid ni magonjwa ya zinaa Mambo ya kuzingatia ili uweze kujikinga na PID

👉Epuka kufanya mapenzi na watu wengi

👉Tumia njia za uzazi wa mpango(barrier) kama kondomu

👉Tumia spermicides kwa kila tendo la ndoa hata kama unameza vidonge vya uzazi

👉 Usitumie IUDs kama unawapenzi wengi.

Note

IUDs ni vitu vinavyowekwa ndani ya uke kuzuia mimba

👉Wahi matibabu ukiona dalili zozote za PID au za magonjwa ya zinaa kama kuto=

kwa na uchafu usio wa kawaida ukeni,maumivu kiunoni nk

👉Pia fanya uchunguzi wa afya ya uzazi mara kwa mara ili kama kuna tatizo ligundulike na litibiwe kabla halijasambaa kwenda kwenye viungo vya ndani vya uzazi

MATIBABU YA PID

Antibiotics hutumika kutibu PID kwa awali na kwa matibabu ya PID ya awali antibiotics za kunywa hutumika.

Kama tatizo limekuwa kubwa mgonjwa atapewa antibiotics ya kunywa na pia ya sindano,kama utagundulika na tatizo hili mwenza wako au wenza wako watibiwe hata kama hawana dalili zozote vinginevyo tatizo litaweza kujirudia mtakaposhiriki tendo la ndoa

TATIZO LIKIZIDI LIKAWA KUBWA YANI USAHA UKAVIMBIA ITAKUBIDI UFANYIWE UPASUAJI

TUNA PACKAGE YA SIKU 90 YA DAWA ZA ASILI ZA KUTIBU PID KATIKA LEVEL YOYOTE

KWA USHAURI NA MATIBABU WASILIANA NAMI KWA

NAMBA 0684450076

NGIRI INAVYO DHOFISHA NGUVU ZA KIUME
ngiri

UGONJWA WA NGIRI/HERNIA NA UNAVYOATHIRI NGUVU ZA KIUME

Ugonjwa huu mara kwa mara huwapata wanaume, ni ugonjwa ambao umesha wakumba wanaume wengi sana. Na kujikuta wanakosa tiba zaidi ya oparesheni.

Ugonjwa wa ngiri hujitokeza wakati sehemu ya utumbo inapoteleza na kupenya katikakati ya msuli wa utumbo, na kuingia katika kende moja, au sehemu ya juu ya paja.lakini wakati mwingine hujitokneza pale msuli unaotenganisha mapafu na utumbo unapotoboka na kufanyikia kwa mkusanyiko wa majimaji kwenye sehemu ya juu ya utumbo au sehemu ya chini ya mapafu.

NGIRI ni hali yenye kusababisha maumivu makali sana na mara nyingi huhitaji tiba ya haraka zaidi hata hivo unaweza kuzuwia kupata tatizo hili katika siku za usoni, pamoja na kuyatibu maumivu yanayosababishwa na tatizo hili kwa njia za kiasili na kupona kabisa, kwani ni wengi walougua tatizo hili na wamepona, baada ya kutumia supplements.

VISABABISHI VYA NGIRI

Kuna sababu nyingi zinazopelekea mtu apate ugonjwa wa ngiri, lakini hapa tazitaja chache tu,

Ukosefu wa protini mwilini.

Ukosefu wa chakula cha kutosha chenye protini mwilini, hupelekea kudhoofika kwa utando unatenganisha utumbo na mifupa inayounda kiuno na nyonga, au utando unaotenganisha mapafu na utumbo, ( diagram )

Ajali

Endapo mtu atapata ajali itakayopelekea kutoka kwa shinikizo ( pressure ) katika sehemu laini za mwili zinaziweza kupelekea kupata hernia, basi mtu huweza pata tatizo hili, kwani wakati mwingine tatizo hili hutokea hata maeneo mengine km vile katika mapafu, kichwani, nk.

Kazi ngumu

Hii pia hupelekea mtu kupata tatizo hilo, shughuli zinazohitaji kutumia nguvu kubwa pia zaweza sababisha ugonjwa huu n.k.

DALILI ZA UGONJWA WA NGIRI CHANGA

Dalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu.

Nazo ndizo hizi zifuatazo⤵

1:Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu.

2:Kupiga mingurumo tumboni.

3:Kujaa gesi tumboni.

4:Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu.

5:Kupata haja ngumu kama ya mbuzi.

6:Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa.

7:Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara.

8:Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho.

9:Nuru ya macho hupotea taratibu.

10:Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika.

11:Huvutwa makende au upande mmoja maumivu.

12:Hupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na puru.

13:Maumivu makali ya mgongo au kiuno

14:Uume kusimyaa na kunywea kama wa mtoto

15:Maumivu kati ya paja na kinena na hupelekea mguu kuwaka moto /kupata ganzi

16:Kupata maumivu katikati ya kifua mithili ya chembe ya moyo (hiatal hernia)

17: Tumbo kujaa na kuonekana kama una kitambi kumbe ni gas.

18:Ukila vitu vyevye sukari nying kama soda nk tumbo huunguruma sana na kujaa gas

19:Kuvimba kwa korodan ama korodan kupanda juu (moja ama zote kwa pamojafahamu

JINSI UGONJWA WA NGIRI/HERNIA UNAVYOATHIRI NGUVU ZA KIUME

Kama ngiri bado ni ndogo. Haiwezi kuathiri chochote katika nguvu za kiume. Hata hivyo, hernia ambayo imeshakuwa kubwa inaweza kuathiri nguvu za kiume.

@Huathiri utendaji wa mishipa ya neva iliyo kwenye uume/korodani na hali ya homoni.

Ukosefu wa homoni ya testosterone inaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume.

@Upasuaji wa ngiri unaweza kusababisha shida katika korodani kufanya uwezekano wa homoni ya testosterone kuwa chini. Hata hivyo, kwa sababu watu wengi wana korodani mbili, hata kama moja inaweza kuwa na shida, nyingine inaweza kuzalisha viwango vya kutosha vya homoni.

@Ngiri hutokea kwenye maeneo ya tumboni,

Eneo la kinena,eneo la paja kwa juu,

Eneo ambalo mtu amewahi kufanyiwa upasuaji siku za nyuma

Kifuani nk: hata ivyo

Ugonjwa wa Ngiri huwapata watu wa jinsia zote na umri wowote,

@Ngiri pia huweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume kutokana na kuharibu mishipa ya neva iliyo kwenye uume.

@Ngiri huathiri kokwa na pumbu ambavyo baadhi ya viungo vya mwili vilivyomo tumboni hujipenye

Piga 0684450076

TEZI DUME SIO BUSHA FAHAMU KWA UNDANI
TEZI DUME SIO BUSHA, ZIJUWE DALILI ZA TEZI DUME

Watu wengi wamekuwa wakidhania kuwa tezi dume ni busha ama ngiri maji kwa jina jinngine. Hapana hii sio sahihi kabisa. Mpenzi msomaji tambuwa kuwa tezi dume sio busha na haifananni kabisa na busha. Tezi dume isipotibiwa kwa haraka inaweza kuwa hatari sana kwani ina maumivu makali sana. Sasa nini hasa hii tezi dume?. katika makala hii nitakwenda kukupa mwangaza kuhusu tezi dume., dalili za tezi dume na athari za tezi dume kwa afya ako.

Nini maana ya tezi dume

Tezi hii kitaalamu hufahamika kama prostate gland. Hii ni tezi inayopatikana katika mfumo wa uzazi wa kiume. Tezi hii inapatikana jirani na kibofu cha mkojo na mirija ya mkojo. Tezi hii ina kazi ya kuzalisha majimaji ambayo hubeba mbegu za kiume. Majimaji haya ndio yale anayotoa mwanaume anapofikia kilele. Hivyo tezi hii ni muhimu sana katika mfumo wa kizazi wa mwanaume. Tezi hii si kubwa saana inapata sentimita zisizozidi 5. lakini tezi hii hukuwa kadiri umri unavyoenda.

Kwa ufupi wa maneno ni kuwa tezi dume ipo zini ya kibofu karibu na shingo ya kibofu. Na imezunguka mrija unaotoa mkojo kutoka kwenye kibofu kuja nje (urethra). hivyo mkojo unapotoka kwenye kipofu hipitia katikati kwenye tezi dume ukiwa kwenye mrija wa urethra. Urethra ndio mrija unaotoa mkojo kutoka kwenye kibofu.

Vipi ugonjwa wa tezi dume hutokea?

Kama ulivyojifunza hapo juu mkojo ukiwa kwenye mrija hupita katikati ya tezi tume. Sasa tezi hii ina kawaida ya kukuwa kadiri mtu anavyopata umri zaidi. Hivyo basi kadiri tezi hii inapoongezeka ukubwa ndivyo inavyoanza kuminya mirija ya kupitisha mkojo na hatimaye huanza tatizo la ugonjwa wa tezi dume. Tatizo hili kitaalamu hufahamika kama Benign Prostatic Hyperplasia (BPH).

Nini sababu za kutokea kwa tezi duma?

Kama ilivyokwisha kutajwa hapo juu, tezi hii hukuwa kadiri mtu anavyokuwa. Kwa baadhi ya watu inapokuwa huwa kubwa kiasi cha kuanza kuminya mirija ya mkojo na kuleta shida kwenye mfumo wa mkojo. Tafiti mbalimbali zinaonyesha kuwa miongoni mwa mambo yanayohatarisha uwezekano wa kupata ugonjwa huu ni haya yafuatayo:-

1.Umri, kikawaida tezi dume huwapata watu wenye umri kuanzia miaka 40. ni mara chache sana kuwapata walio chini ya umri huo. Pia tezi dume kwa kiasi kikubwa huwapata walio kati ya miaka sitini na kuendelea. Hususan robo tatu ni wale walio na miaka kuanzia 60,na nusu yao ni wale walio na miaka kuanzia 80.

2.Tatizo la tezi dume pia huweza kurithiwa. Yaani kama baba yako ana tezi dume ama yeyote katika damu yako hapo mwanzo alikuwa na tezi dume, hivyo upo uwezekana na wewe kurithi tatizo hili.

3.Pia inaonakana kuwa baadhi ya rangi huathiriwa sana na tatizo la tezi dume. Tafiti zinaonesha kuwa watu walio katika bara la Asia si sana kupatwa na tezi dume kuliko watu weusi na wazungu. Hata hivyo kwa watu weusi upo uwezekano wa kupatwa na tatizo hili katika umri mdogo kuliko wengine.

4.Maradhi, tafiti zinaonyesha kuwa kuna baadhi ya maradhi huweza kupelekea kupatwa na tatizo la tezi dume. Kwa mfano watu wenye maradhi ya sukari, na maradhi ya moyo wapo hatarini kupatwa na tezi dume ukilinganisha na watu wengine.

5.Staili za maisha. Tafiti pia zinaonyesha kuwa watu wenye kiribatumbo na wasiofanya mazoei wapo hatarini kupatwa na tatizo la tezi dume.

Ni zipi dalili za ugonjwa wa tezi dume?

Dalili za tezi dume zinaweza kuwa kali ama hafifu kutoka mtu hadi mtu. Ukali wa dalili hizi hautegemei ukubwa wa tezi. Inaweza kuwa tezi ni kubwa lakini dalili zisiwe kali. Miongoni mwa dalili za tezi dume ni:-

1.Kukojoa mara kwa mara, ama kuhisi kukojoa mara kwa mara

2.Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku

3.Kupatwa na uzgumu kutoa mkojo

4.Mchirizi wa mkojo kuwa dhaifu

5.Mkojo kukatakata unapofika karibu a mwisho

6.Kujichafua wakati wa kukojoa

7.Kushindwa kumaliza mkojo kabisa.

8.Damu kwenye mkojo

9.Kushindwa kukojoa kabisa.

10.Kupata mkojo mchache sana

Kuwa na dalili tajwa hapo juu pekee hakuwezi kukupa uhakika kuwa una tatizo la tezi dume. Kwani dalili tajwa hapo juu zinaweza kuambatananna shida nyingine za kiafya kwa mfano:-

1.Maambukizi ya UTI

2.Kuvimba kwa tezi

3.Kupunguwa ukubwa wa mrija wa mkojo

4.Kuwepo na vijiwe kwenye kibofu

5.Kuwa na shida kwenye mfumo wa neva ambazo hudhibiti ufanyaji kazi wa kibofu

6.Kuwa na saratani

7.Kama upasuaji katika kibofu haukufanyika sawa.

Ni zipi athari za tezi dume kama haitawahi kutibiwa?

Tezi dume ni kama maradhi mengine, inatibika bila wasi. Hata hivyo endapo matibabu yatachelewa athari zifuatazo zinaweza kupatikana:-

1.Kushindwa kabisa kukojoa

2.Kupatwa na maambukizi ya UTI

3.Kupatwa na vijiwe kwenye kibofu

4.Uharibifu wa kibofu unaweza kutokea

5.Figo inaweza kuharibika

Wasiliana nami sasa kwa ushauri na matibabu.

UKUWAJI WA TEZI DUME NA SARATANI YA TEZIDUME DALILI MADHARA NA TIBA
IJUE TEZI DUME NINI DALILI MADHARA NA TIBA YA KANSA AU KUVIMBA KWA TEZI DUME BILA UPASUAJI

Tezi dume ni moja ya tezi ya uzazi ya kiume ambayo kila mwanaume anayo, tezi hii lipo chini ya kibofu cha mkojo na inazunguka njia ya mkojo toka kwenye kibofu kwenda kwenye uume.

*NOTE:Jinsi umri unavyoongezeka tezi dume nayo huongezeka ukubwa ambao unaweza kuwa wa kawaida au Saratani.*

Kuna aina tatu za magonjwa ya tezi dume.

•Maambukizi ya Bakteria (Prostatitis).

•Kukua kwa tezi dume ambayo sio Saratani (Benign Prostatic

Hypertrophy-BPH).

•Saratani ya tezi dume.

KAZI YA TEZI DUME

•Kutoa majimaji anayochanganyika na mbegu za kiume (sperms) kutengeneza manii (semen) pamoja na kuimarisha nguvu za kiume.

SARATANI YA TEZI DUME

Saratani ya tezi dume inashika nafasi ya tatu kwa kusababisha vifo vitokanavyo na saratani kwa wanaume duniani.

Pia ni chanzo kikuu cha vifo vinavyosababishwa na saratani kwa wanaume wenye umri wa miaka 40 na kuendelea.

VISABABISHI VYA SARATANI YA TEZI DUME

Chanzo hasa cha saratani ya tezi dume hakijulikani, saratani hii ina uhusiano mkubwa na;

•Umri, Wanaume wenye umri kuanzia

miaka 40 na kuendelea wanapata zaidi saratani ya tezi dume.

•Vyakula vyenye kiasi kikubwa cha mafuta, hasa ya wanyama.

•Historia ya tatizo hili kwenye familia (Genetic).

•Kuwa na uzito uliokithiri.

DALILI ZA SARATANI YA TEZI DUME.

Katika hatua za awali, dalili hazitofautiani sana na zile za kuvimba kwa tezi dume Isiyokuwa Saratani (BPH).

Dalili hizo ni pamoja na;

•Kusikia kupata haja ndogo mara kwa mara hasa nyakati za usiku.

•Haja ndogo kuchelewa kutoka unapoanza kukojoa.

•Kutoa mkojo wenye mtiririko dhaifu na kuchuruzika kidogo kidogo baada ya kumaliza kukojoa.

•Kujikakamua wakati wa kukojoa na kushindwa kumaliza mkojo wote.

•Kutoa mkojo au manii

yaliyochanganyika na damu.

•Maumivu makali sehemu mbalimbali za mwili kama Saratani imesambaa.

•Kupungua uzito, kuhisi kichefuchefu, uchovu na kizunguzungu.

UCHUNGUZI / UPIMAJI

•Uchunguzi kwa kutumia kidole cha shahada kupitia njia ya haja kubwa na kuhisi ukubwa wa tezi kwenye ukuta wa puru.

•Kipimo cha damu kuangalia kiwango cha aina ya ‘protein’ iitwayo ‘Prostate

Specific Antigen (PSA), proten’ hii huwa juu kuliko kawaida kama mtu ana Saratani ya Tezi Dume na wakati mwingine kama ana maambukizi (prostatitis).

•Kuchukua kipande cha nyama kwenye tezi (Prostate Biopsy) kwa uchunguzi wa kimaabara.

•Kipimo cha mawimbi sauti (Ultrasound) ambacho husaidia kuonyesha ukubwa na sura ya tezi dume.

•Vipimo vya CT scan, MRI kutambua kama Saratani imesambaa sehemu nyingine za mwili.

TIBA YA UVIMBE,SARATANI INATIBIKA BILA UPASUAJI

Wasiliana nasi kwa Ushauri Juu ya tezi na Tiba

Kwa matatizo ya Upungufu wa Nguvu za kiume, tatizo la KISUKARI , Pressure, Bawasiri na Athma tunatoa Tiba kumaliza kabisa changamoto hizo.

Wasiliana nasi kwa Ushauri zaidi. Kwanamba zifuatazo

KUKUWA KWA TEZI DUME NA SARATANI YA TEZI DUME
IJUE TEZI DUME NINI DALILI MADHARA NA TIBA YA KANSA AU KUVIMBA KWA TEZI DUME BILA UPASUAJI

Tezi dume ni moja ya tezi ya uzazi ya kiume ambayo kila mwanaume anayo, tezi hii lipo chini ya kibofu cha mkojo na inazunguka njia ya mkojo toka kwenye kibofu kwenda kwenye uume.

*NOTE:Jinsi umri unavyoongezeka tezi dume nayo huongezeka ukubwa ambao unaweza kuwa wa kawaida au Saratani.*

Kuna aina tatu za magonjwa ya tezi dume.

•Maambukizi ya Bakteria (Prostatitis).

•Kukua kwa tezi dume ambayo sio Saratani (Benign Prostatic

Hypertrophy-BPH).

•Saratani ya tezi dume.

KAZI YA TEZI DUME

•Kutoa majimaji anayochanganyika na mbegu za kiume (sperms) kutengeneza manii (semen) pamoja na kuimarisha nguvu za kiume.

SARATANI YA TEZI DUME

Saratani ya tezi dume inashika nafasi ya tatu kwa kusababisha vifo vitokanavyo na saratani kwa wanaume duniani.

Pia ni chanzo kikuu cha vifo vinavyosababishwa na saratani kwa wanaume wenye umri wa miaka 40 na kuendelea.

VISABABISHI VYA SARATANI YA TEZI DUME

Chanzo hasa cha saratani ya tezi dume hakijulikani, saratani hii ina uhusiano mkubwa na;

•Umri, Wanaume wenye umri kuanzia

miaka 40 na kuendelea wanapata zaidi saratani ya tezi dume.

•Vyakula vyenye kiasi kikubwa cha mafuta, hasa ya wanyama.

•Historia ya tatizo hili kwenye familia (Genetic).

•Kuwa na uzito uliokithiri.

DALILI ZA SARATANI YA TEZI DUME.

Katika hatua za awali, dalili hazitofautiani sana na zile za kuvimba kwa tezi dume Isiyokuwa Saratani (BPH).

Dalili hizo ni pamoja na;

•Kusikia kupata haja ndogo mara kwa mara hasa nyakati za usiku.

•Haja ndogo kuchelewa kutoka unapoanza kukojoa.

•Kutoa mkojo wenye mtiririko dhaifu na kuchuruzika kidogo kidogo baada ya kumaliza kukojoa.

•Kujikakamua wakati wa kukojoa na kushindwa kumaliza mkojo wote.

•Kutoa mkojo au manii

yaliyochanganyika na damu.

•Maumivu makali sehemu mbalimbali za mwili kama Saratani imesambaa.

•Kupungua uzito, kuhisi kichefuchefu, uchovu na kizunguzungu.

UCHUNGUZI / UPIMAJI

•Uchunguzi kwa kutumia kidole cha shahada kupitia njia ya haja kubwa na kuhisi ukubwa wa tezi kwenye ukuta wa puru.

•Kipimo cha damu kuangalia kiwango cha aina ya ‘protein’ iitwayo ‘Prostate

Specific Antigen (PSA), proten’ hii huwa juu kuliko kawaida kama mtu ana Saratani ya Tezi Dume na wakati mwingine kama ana maambukizi (prostatitis).

•Kuchukua kipande cha nyama kwenye tezi (Prostate Biopsy) kwa uchunguzi wa kimaabara.

•Kipimo cha mawimbi sauti (Ultrasound) ambacho husaidia kuonyesha ukubwa na sura ya tezi dume.

•Vipimo vya CT scan, MRI kutambua kama Saratani imesambaa sehemu nyingine za mwili.

TIBA YA UVIMBE,SARATANI INATIBIKA BILA UPASUAJI

Wasiliana nasi kwa Ushauri Juu ya tezi na Tiba

Kwa matatizo ya Upungufu wa Nguvu za kiume, tatizo la KISUKARI , Pressure, Bawasiri na Athma tunatoa Tiba kumaliza kabisa changamoto hizo.

Wasiliana nasi kwa Ushauri zaidi. Kwanamba zifuatazo

Ushauri wa kitaalamu na tiba zilizosalama kiafya kwa gharama nafuu
Je Unasumbuliwa na ugonjwa sugu, maradhi au udhaifu wowote wa mwili kwa wanaume na wanawake , msongo wa mawazo ,uzito , saikolojia au matatizo ya ndoa / mahusiano?

Piga simu +255 754 333 059, Dr Evelyn yupo kwa ajili yako wewe mwenye tatizo / shida mbalimbali za kiafya au kisaikolojia. kila tatizo lina jawabu lake.

Karibu, ninatoa ushauri wa kitaalamu na tiba zilizosalama kiafya kwa kutumia virutubishi kwa gharama nafuu sana, usibaki na tatizo au mawazo juu ya tatizo lako,

Ninapatikana Dar es salaam, karibu Piga simu / whatsapp +255 754 333 059

Medical product
Tunatoa huduma ya afya kwa magonjwa mbalimbali kwa kutumia tibarishe

👉 Kisukari

👉 Pressure

👉Magonjwa ya ngozi

👉 Bawasiri

👉Vidonda vya tumbo

👉 PID

👉UTI sugu

👉 Mifupa

We stock the widest range of Essential Oils for Aromatherapy
We offer all types of essential oils for Aromatherapy on retail and wholesale including Lavender, Menthol, Peppermint, Chamomile German, Camomile Roman, Frankincense, Finger, Geranium, Lemon, Eucalyptus, Lavendin, Marjoram, Orange Sweet, Mandarin, Tangerine, Clery sage, Ylang Ylang, Carrot seed, Camphor, Jasmine, Wild Sage, Wintergreen, Rose, Rosewood, Sandalwood, Rosemary, Lemongrass, Cinnamon leaf, Ginger, Lime, Cypress, Wilde ALS, Sweet bitch, Myrrh, Citronella, Teatrea, Clove bud, Origanum, Caraway, Pine, Neroli, Niaoli,etc.

We also sell herbs including Indian Ayurvedic herbs, Ginseng, Chamomile, Churnas, Ashwagandha, Shatavari, etc.

We also sell Fragrance Oils including Frangpin, Vanilla, Musk, Violet, Magnolia, Lily of the valley, Rose, and so many more. We offer delivery!

Call +255742008000

AROGYAM PURE HERBS KIT TO INCREASE PENIS SIZE
A myth “size doesnt matters�, A truth “IT MATTERS”�

every man must have realized at any moment or other. No matter of shame now. We have introduced a purely herbal kit in which herbal supplements, massage oils & video visualization to demonstrate best way of massage, will make you feel proud.

Tags: increase penis size, herbal formula to increase penis size, arogyam pure herbs kit to increase penis size