Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

FANIKISHA NDOTO ZAKO Commercial

8 months ago Education Tarime   463 views

TSh5,000

  • fanikisha-ndoto-zako-big-0
Location: Tarime
Price: TSh5,000

FANIKISHA NDOTO YAKO

Ni kitabu kwa ajili yako!!!

Ulimwengu unawahifadhi watu wale ambao wanafanya kitu ili kuuendeleza, na ni lazima uwe na kitu. kumbuka mafanikio yako ni mafanikio ya ulimwengu, ni lazima uwe na ndoto ili uendelee kuishi katika ulimwengu.

Katika kitabu hiki utajifunza mambo mbalimbali ikiwemo:-

  • Ishi ukiwa na ndoto.
  • Fikra chanya yenye mafanikio.
  • Jinsi ya kufundisha fikra zako kufikia mafanikio.
  • Maumivu ya kufanikisha ndoto zako.

Hayo na mengine mengi utajifunza katika kitabu hiki.

kinapatikana katika hardcopy na softcopy, na kimeandaliwa na Dream Chaser Academy